PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Mix

Kuna hili la kujua katika Dunia ya mitandao

on

Leo September 17, 2018 naendelea kukupa good news itakayokufanya ujiepushe kupoteza muda pale unapohitaji huduma, Sasa ili kuenda sambamba na ulimwengu wa kidijitali Nchini, BancABC kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, wameigia USHIRIKIANO wa kuwaunganisha wateja wa  mtandao wa simu wa Vodacom, kupata kutumia  huduma ya kulipia bidhaa au huduma kupitia kwa njia ya mtandao kwa kutumia huduma ya M-Pesa ya Virtual Card  ili kuweza kufanya manunuzi ya bidhaa mbali mbali kwa njia ya mtandao ndani na nje ya nchi.

Akiongea wakati wa uzinduzi huo, Mkuu wa kitengo cha digital kutoka BancABC, SILAS MATOI amesema  huduma hii ni ya kwanza kutumika katika mitandao ya simu hapa nchini, ambapo wamejipanga kuhakikisha kuwa wateja watakaoitumia huduma hio, watapatata huduma bora zitakazowarahisishia kununua bidhaa popote wanapotaka.

Manyanyaso yamkimbiza Husna Kigoma kazini, sasa anatengeneza Pemba

Soma na hizi

Tupia Comments