PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Ngoma ya Davido ‘Fall’ yampagawisha Rapper Busta Rhymes

on

Muziki wa Afro Beat unazidi kuwapagawisha watu wa Mataifa mbalimbali na hii imeonekana baada ya rapper Busta Rhymes kuonekana kufurahishwa na ngoma ya ‘Fall’ kutoka kwa mkali Davido kutokea Nigeria.

Baada ya Busta Rhymes kupost kipande cha ngoma hiyo ambayo ni Remix na Rapper Prayah toka record label ya Conglomerate ya Busta, inawezekana ikaja remix nyingine kutoka kwa Busta mwenyewe  ikiwa ameandika “Labda tupate na Remix ya Busta Rhymes.

 

View this post on Instagram

 

This video makes me so happy ❤️ @bustarhymes

A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

IRENE UWOYA AFANYA DUA YA KUWAOMBEA MASTAA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI

Soma na hizi

Tupia Comments