PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

October 6 kila mwaka ni siku ya Wizkid Marekani

on

Ukiachilia mbali jina la ‘Starboy’ la Wizkid fahamu kuwa kila ifikapo October 6 kila mwaka itakuwa ikitambulika  kama “Wizkid Day” kwa wakazi wa Minnesota Marekani.

Gavana wa mji huo wa Minnesota Mark Dayton ametoa tamko hilo baada ya Wizkid kuvunja rekodi na kuwa msanii wa kwanza wa muziki kutokea bara la Afrika kuujaza ukumbi wa Skyway Theatre uliohudhuriwa na maelfu ya watu 0ctober 7,2018.

Wizkid anazidi kulitambulisha vyema Bara la Afrika Kimataifa na Gavana  Mark Dayton ameongeza kuwa anamtambua Wizkid kama msanii anayetambulisha na kueneza utamaduni .

Nay Wa Mitego apigiwa simu na Viongozi, kisa wimbo wa ‘Alisema’

Soma na hizi

Tupia Comments