Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Misemo ya Naibu Waziri Aweso ilivyoacha vicheko kwa Wabunge


Moja ya kivutio kilichojitokeza wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo November 10, 2017 ni pamoja na hii ya Naibu Waziri wa Maji na umwagiliaji Jumaa Aweso alivyokuwa akijibu maswali ya wabunge kwa kunogesha na vimisemo mbalimbali na kufanya wabunge kuangua vicheko. Video kamili nimekuwekea hapa chini tayari…

“Mshaurini Rais nchi inaporomoka” –Jesca Kishoa

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement