Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA: Unachotakiwa kukijua kuhusu biashara mpya aliyoianzisha Nisha

on

Tumemzoea kumwona mrembo Salma Jabu maarufu Nisha Bebee katika tasnia ya maigizo zaidi ya vichekesho lakini kwa sasa anatualika kujua shughuli yake ya pili inayomuingizia mkwanja ambayo ni biashara, na leo kaamua kuweka wazi kupiti account yake ya instagram na kusema..

Kwa heshima na taadhima naomba niwatambulishe kwenu lotion ya BOSS BABES iliyonipa heshima kubwa sana nchini China na kunifanya nijione nnaweza kwa chchte nikiamua

Niliwahi kuwa mteja mzuri sana wa lotion hii,kama mnavyoona ngozi yangu ilivyo na rangi moja,nyororo hamna michirizi,nang’aa,sina mikunjo na sina mabaka baka siri kubwa ni lotion ya BOSS BABES

Mwanzo nilikuwa mteja tu wa lotion hii,hadi nilipojiridhisha na kununua mamlaka yote na kuwa mmiliki halali wa BOSS BABES

Kujiridhisha kwa hilo na kutaka nione raha kwa kile nlichofanya nikaomba na picture pia itumike ya kwangu kuliko kila siku kutumia picture za wazungu badala ya kuitambulisha Tanzania yetu

lotion hii ya BOSS BABES.
1)ni kwa ngozi yeyote.
2)hung’arisha ngozi yako kwa haraka.
3)inaondoa chunusi,harara,mabaka n.k.
4)inatoa miwani.
5)inaacha ngozi yako nzuri na ya kuvutia HATA KAMA HUNA HELA UTAONEKANA BOSS NGOZI YA PESA RANGI YA KITAJIRI.

‘Inapatikana nchi nzima kwa pesa za kitanzia sh. elf 75 tu, (75,000) 0766484890 piga simu au whatsapp toa ordee tukuletee ulipo.’

screen-shot-2016-11-26-at-10-28-38-am

.

ULIIKOSA EXCLUSIVE INTERVIEW YA NISHA KUHUSU MAISHA, KAZI NA MAPENZI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement