PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

“Kwenye hili Tanzania itakuwa kama Ulaya” –Mbunge Bashungwa (+Video)

on

February 5, 2018 Wabunge walikuwa wakijadili taarifa ya kamati ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na kamati ya Miundombinu ambapo kati ya waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ambaye aliishauri Serikali namna bora za kutengeneza fursa za ajira kwa kutumia rasilimali za nchi na kuwanufaisha watanzania wengi.

Hukumu imetolewa kwa aliyepeperusha Bendera ya TZ kwenye Meli bila kibali

Soma na hizi

Tupia Comments