Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Namna Nje ya Box ilivyopokelewa Kitaani.

on

 

 

 

nje21

 

Masaa machache baada ya kuachiwa video ya Nje ya Box ya Nikki wa pili,Joh Makini na G-Nako tayari watu wanao-burn cd’s wanayo hii video,millardayo.com pia imepiga story na mmoja kati ya wanao-burn Cd hapa Kariakoo.

nje31

 

Jamaa anasema mara nyingi video hizi huwa anadownload kwenye website tofauti ikiwemo millardayo.com na mpaka sasa tayari kashawawekea watu zaidi ya 10 walioenda hapo kuitafuta hiyo video mpya ya Weusi.

nje5

 

Mbali na Nje ya Box amedai video zingine alizoziuza sana ni pamoja na Chapa Nyingine na My number One rmx ya Diamond ft.Davido.

Tupia Comments

Advertisement