Tangaza Hapa Ad

Mix

Neema Herbalist wasema dawa ya JIKO imethibitishwa na mkemia mkuu

on

Kama wewe ni miongoni mwa Watanzania waliofikiwa na taarifa za dawa iitwayo JIKO inayotajwa kuwa tiba asilia yenye nguvu ya kumaliza tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, taarifa ikufikie kwamba Neema Herbalist wamesema wanavibali vyote.

Kituo hicho kimetoa taarifa kwamba dawa hiyo ambayo inapatikana mikoani na hata nchi jirani, imethibitishwa na mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania hivyo yeyote mwenye tatizo hilo asisite kuitumia na sehemu ya kibali chenyewe ndio hiki hapa chini.

neema

 

neema-3 neema-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement