Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Yanayotajwa kuwa magoli bora yaliofungwa mbali EPL

on

Ligi Kuu England ni moja kati ya Ligi bora duniani na imefanikiwa kuteka mashabiki kutoka mataifa mbalimbali duniani, inawezekana wewe ukawa ni mmoja kati ya mashabiki wa Ligi Kuu England au shabiki wa soka, basi naomba ni kusogezee video ya baadhi ya magoli bora ya mbali yaliowahi kufungwa EPL.

VIDEO: Mbwembwe za Haji Manara uwanjani baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments