AyoTV

Mchina anambwembwe wameifunga Yanga anawaita Simba watoto wao

on

Moja kati ya habari kubwa zilizokuwa kivutio kwa waandishi wa habari wa Tanzania bara ni kukutana na meneja wa Malindi SC iliyocheza na Yanga na kuifunga kwa magoli 2-1 katika mchezo wa Makundi wa Kombe la Mapinduzi 2019 na kuitoa Yanga.

AyoTV ilimfuata meneja wa Malindi SC  Mr Kaeo ambaye ni mtanzania mwenye asili ya China baada ya game na kueleza kuwa, amefurahi kuingia nusu fainali kwa Kiswahi fasaha kabisa ndipo tulipomuuliza wazazi wake wanatokeo wapi na yeye amekuja Zanzibar lini?

“Mimi sio raia wa kigeni mimi ni mtanzania halisi napiga kura na nimezaliwa Zanzibar, asili ya baba na Mama Yangu ni China ila walikuwa zamani wakaomba Uraia hapa na kupata wakatuzaa sisi watoto saba mimi nikiwa wa mwisho na miaka 47, sisi tutachagua wakucheza nae Simba mtoto wetu tulimpiga rungu tano”>>>Mr Kaeo

Mbona Jonas Mkude hatumuoni Zenji? Meneja wa Simba kajibu

Soma na hizi

Tupia Comments