Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Kwa asilimia 99.5 sisi ndio Mabingwa wa VPL >>> Shomari Kapombe

on

Baada ya game ya Simba SC dhidi ya Ndanda FC kumalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 44, beki wa Simba Shomari Kapombe alikubali kuongea na AyoTV kuzungumzia mchezo huo.

“Kwa tunashukuru Mungu kwa mchezo kumalizika salama mchezo ulikuwa mgumu kwa upande wa wenzetu na hata upande wetu pia lakini tunashukuru kwa kuweza kupata point 3, tangu mwanzo nilikuwa nawaambia mashabiki wa Simba waipe sapoti timu yao”

VIDEO: Emmanuel Okwi hawezi kupata presha kwa rekodi ya Tambwe VPL

Soma na hizi

Tupia Comments