Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Taarifa kutoka TFF Ngorongoro Heroes wakiisubiri Mali

on

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 20 maarufu kama Ngorongoro Heroes baada ya kuitoa timu ya taifa ya Congo DRC, sasa imeingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Mali utakaochezwa Dar es Salaam.

Ngorongoro Heroes huo ni mchezo muhimu kwao dhidi ya Mali utakaochezwa uwanja wa Taifa May 13 kabla ya kurudiana baadae nchini Mali, huo ni mchezo wa Ngorongoro Heroes kuwania kucheza AFCON U-20.

VIDEO: Sadio Mane ameipeleka Bongofleva katika dressing room ya Liverpool

Soma na hizi

Tupia Comments