Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Real Madrid yalazimishwa sare UEFA, Cheki matokeo ya mechi za Nov 2 2016

on

Usiku wa November 2 2016 hatua ya makundi round ya nne ya michuano ya UEFA Champions League iliendelea kama kawaida kwa michezo nane kuchezwa, Real Madrid wao walikuwa wageni wa Legia Warsaw katika uwanja wa Wojska Polskiego.

1q

Matokeo ya mechi za UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa November 2 2016.

Real Madrid wakiwa ugenini wamelazimishwa sare ya kufungana magoli 3-3, magoli ya Real Madrid yalifungwa na Gareth Bale dakika ya 1, Karim Benzema dakika ya 35 na Mateo Kovacic dakika ya 85, wakati magoli ya Legia Warsaw yalifungwa na Vadis Odjidja dakika ya 40, Miroslav Radovic dakika ya 58 na Thibault Moulin dakika ya 83.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement