Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Hizi ndio picha mpya za mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian

on

article-2541494-1ABF3F8A00000578-872_634x415

Kama ilivyokua kwa mara ya kwanza picha ya mtoto North West ilionekana kwenye The Ellen show.

Mara nyingine tena picha za mtoto huyo zimeonyeshwa baada ya mama yake Kim Kardashian kwenda kwenye interview.

Moja ya picha ambazo zinasambaa hivi sasa kwenye mtandao ni ambayo Kanye West amembeba mtoto North West.

article-2541090-1ABAE46B00000578-942_634x354
article-2541090-1ABAE48B00000578-923_634x414

article-2541494-1ABFA97100000578-367_634x630

Tupia Comments

Advertisement