Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Nape Nnauye atoa mtazamo wake kuhusu njia iliyotumika kuwataja Watuhumiwa wa dawa za kulevya

on

Baada ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda kuweka wazi majina ya baadhi ya watu wanaotuhumiwa kuuza na kutumia dawa za kulevya nchini Tanzania, leo February 5 2017 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ameongea.

Waandishi wa habari Dodoma ndio walimuuliza swali hilo Nape Nnauye kuhusu mtazamo wake na majibu yake yote yako hapa kwenye hii video hapa chini.

Wema Sepetu, TID na wengine walivyoingia Polisi kutii wito wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement