Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Sheria ya huduma za habari kuanza kutumika Tanzania

on

February 5 2017 Serikali kupitia Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye imetoa taarifa rasmi ya kuanza kutumika kwa sheria ya huduma za habari 2016 na kanuni zake 2017 pamoja na kutaja kiwango cha chini cha elimu kinachotambulika kwa Mwanahabari Tanzania, bonyeza play hapa chini kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement