Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Ifahamu mipango ya Nuh Mziwanda atakayoitimiza kabla 2016 kuisha

on

Nuh Mziwanda ni staa kutoka bongoflevani ambaye anafanya vizuri kwa sasa na hitsingo yake ya ‘Jike Shupa’ wimbo ambao amemshirikisha Alikiba, Goodnews ikufikie mtu wangu Kama unapenda kuona wasanii wako wanafanikiwa sio kimziki tu hata kimaisha na Nuh ameyaongea haya kuhusu kutimiza mipango yake kwa mwaka huu 2016.

Camera za Ayo TV  na Millardayo.com ilimtafuta Nuh Mziwanda na haya ndio alisema kuhusiana na kutimiza malengo yake hayo.

>>>’Ndoto ziko nyingi na moja ya sifa ya maendeleo nikutoka flani kwenda sehemu  flani namshukuru Mungu saivi nimeagiza vifaa vyagu vya studio na viko Tanzania tayari nishapata sehemu ambayo ninaweza kuweka hiyo studio na studio itaitwa ....’

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA TEMBA KUHUSU KUKABIDHIWA UONGOZI NA MKUBWA FELLA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement