Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Majibu ya Nuh Mziwanda kuhusu kudaiwa kulala chumba kimoja na Shilole Mwanza

on

Leo January 17 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Brown ametuletea u heard inayomhusu mwimbaji Nuh Mziwanda kuwa wamekutana na Shilole Mwanza na wamedaiwa kulala chumba kimoja.

Nuh Mziwanda amezungumza na Soudy Brown na haya yalikuwa ni majibu yake……..>>>‘Nimekuja Mwanza kufanya kazi na yeye alikuja kufanya kazi zake, niliienda Maisha kusaini mkataba nikaambiwa pia Shishi naye kaingia, siwezi kumkataza Shishi asiingie kwa sababu mimi nipo, watu wakituona tumeingia sehemu moja tu wanatengeneza stori, hata sijui alikuwa amelala hoteli gani’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza Full Stori

VIDEO: Harmorapa aongea ukweli kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je?, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement