Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Maoni ya Nuh Mziwanda baada ya Shilole kupata mpenzi mpya

on

April 5 2017 kupitia XXL ya Clouds FM, Soudy Brown ameileta U heard inayomhusu msanii Shilole ambaye anasemekana kupata mchumba mpya ambaye awali alikuwa mwendesha bodaboda kabla ya kukabidhiwa Noah na Shilole.

Soudy Brown alimtafuta mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda ili kupata maoni yake juu ya suala hilo na majibu yake yalikuwa haya...>>>”Good for her, ila hainihusu ni maisha yake na mimi nina maisha yangu. So vitu vingine siyo vya kuniuliza. Mimi hainuhusu bora uniulize kuhusu wimbo wangu wa Anameremeta siyo kuniuliza mambo ya mtu mwingine anayeishi maisha yake.” – Nuh Mziwanda.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza full story…

On Air: ‘Nimekuja East Africa kwa sababu wanapenda muziki mzuri’ Mino Ezoh

Endelea Kukaa karibu na Millardayo.com kuzipata BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement