Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mrembo Tunda na Whozu mambo hadharani ‘Nimechagua love sio pesa’ (+Audio)

on

Stori kubwa ambayo imechukua headlines leo July 9,2019 ni kuhusu Mwanadada Tunda ambaye ame-post video kupitia ukurasa wake wa instagram ikimuonyesha akipigwa mabusu na mwimbaji wa Bongo Fleva Whozu na kuandika caption inayosema ‘Nmechagua LOVE sio PESA. This is new sweet Tunda’

Kupitia mahojiano tofauti aliyowahi kufanya Whozu alikuwa akikanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa kuhusu ukaribu wake na Tunda na hata swali kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi lakini miezi kadhaa iliyopita Whozu alikiri kuwa aliwahi kushikiwa bastola na kunyolewa nywele kisa Tunda.

Inawezekana Tunda ameamua kuweka wazi kuhusu mahusiano yake na Whozu kupitia video pamoja na caption alizoziweka kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya kuonekana kuficha swala hilo kwa muda mrefu.

VIDEO: KWENYE PETE YA CHRISTIAN BELLA, HAJAWAACHA AY NA MWANA FA

Soma na hizi

Tupia Comments