AyoTV

VIDEO: Mbwembwe za Haji Manara uwanjani baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

on

Simba leo wamefanikiwa kuondoka na point zote tatu baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Yanga, goli la Simba limepatikana dakika ya 37 kupitia kwa Erasto Nyoni aliyetumia vyema pasi ya Shiza Kichuya.

VIDEO: Mapokezi ya Yanga Airport DSM na alichokisema kocha wao

Soma na hizi

Tupia Comments