Habari za Mastaa

Office mpya za Clouds, Seba Maganga azungumza siku ya uzinduzi

on

AyoTV na millardayo.com zimezungumza na Seba Maganga kuhusu miaka 19 ya kusherekea kuzaliwa kwa Clouds ambapo moja ya jambo alilogusia ni pamoja na ofisi mpya za Clouds na siku zitakazozinduliwa huku akiwapongeza mashabiki kwa kuendelea kutoa support.

PLAY hapa chini kutazama video.

EXCLUSIVE: WASANII WA ALIKIBA WAMEFUNGUKA “GHARAMA NYINGI ZIMETUMIKA”

VIDEO: Huyu ndiye Producer Kimambo kafunguka Shetta kutumia biti ya Nandy

Soma na hizi

Tupia Comments