Tangaza Hapa Ad

Magazeti

Mkoa wa Simiyu waanza kuonja matunda ya kumiliki viwanda

on

Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.

Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 03 2017 ambapo mojawapo ni kutoka gazeti la Mtanzania kuhusu mkoa wa Simiyu kuanza kuonja matunda ya kumiliki viwanda, baada ya kuingia makubaliano ya kuiuzia Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ‘SMZ’ Chaki kwa ajili ya matumizi ya shuleni.

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka amesema tayari makubaliano ya uuzaji wa chaki hizo yamekamilika. Aidha amesema pamoja na mafanikio  hayo tayari mikoa mingine kama mwanza na Shinyanga imekubali kuja kununua kwao

Unaweza kuipitia hapa chini habari nyingine kubwa kutoka magazeti ya Tanzania leo January 3 2017

AyoTVMAGAZETI: Kila mtu asema lake kutimuliwa bosi Tanesco, Aliyechomwa mkuki atoa maneno mazito 

unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement