Michezo

Yondani ana tatizo na Ajib? angalia alivyokataa kumpa mkono

on

Leo uwanja wa Taida Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya Yang, mchezo ambao Simba alishinda 1-0, inadaiwa kuwa nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib na beki wa timu hiyo Kelvin Yondani hawapo katika maelewano mazuri kwa sasa ila chanzo kamili kikiwa hakijajulikana.

Inadaiwa kuwa Yondani amekasirika kuvuliwa unahodha na kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera January 4 2019 na kumpa Ibrahim Ajib, tukio la kutopeana mikono kwa wachezaji hao limetokea leo wakati wa utambulisho wa wachezaji hao kabla ya game kuanza.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kataja walichozidiwa wachezaji wake na Simba

Soma na hizi

Tupia Comments