Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VIDEO: Tazama Rais Obama alivyokutana na Donald Trump IKULU

on

Mshindi wa Urais Marekani Donald Trump ameingia Ikulu White House leo na kukutana na Rais Obama kwenye mazungumzo yao ya kwanza ana kwa ana toka Trump ashinde Urais ambapo awali kabla ya kukutana Obama alimpigia simu kumpongeza muda mfupi tu baada ya kushinda.

Akiwa White House, Trump amemuita Rais Obama ‘A very good man‘ baada ya kukutana nae IKULU White House kwa mara ya kwanza toka ashinde Urais, unaweza kuitazama hii video hapa chini uone wakiongea IKULU.

VIDEO: Uliikosa hii ya DIAMOND PLATNUMZ iliyovunja rekodi Marekani? bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement