PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Mkenya avunja rekodi ya Dunia Ujerumani

on

Good news kwa Afrika Mashariki ni baada ya mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge kuvunja rekodi ya dunia ya Marathon kwa kukimbia kwa muda mchache.

Kipchoge ambaye ni raia wa Kenya leo amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon zilizofanyika Ujerumani kwa kuwa namba moja kwa kukimbia umbali wa Kilometa 42 kwa saa 2, dakika 1 na sekunde 42.

Ushindi huo sasa unavunja rekodi ya mkenya mwenzake Dennis Kimetto aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo ya dunia katika mbio za Berlin Marathon.

Soma na hizi

Tupia Comments