Michezo

VIDEO: Jikumbushe matukio ya kuchekesha katika soka 2016

on

Mtu wangu wa nguvu ambaye bado unasubiri michezo ya leo October 19 2016 ya UEFA Champions League, sio mbaya ukijikumbusha na matukio madogo madogo ambayo yanachekesha katika soka, naambiwa haya yote yametokea mwaka 2016.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments