DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VideoFUPI: Magoli yote ya Simba vs Mwadui FC leo Sept 17, Full Time 3-0

on

Jumapili ya September 17 2017 Simba SC walicheza game yao ya tatu ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga, katika mchezo huo Simba ilipata ushindi wa magoli 3-0 yaliyofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 7 na 68 na John Bocco dakika ya 68.

Video ya dakika 3 ya magoli ya Taifa Stars vs Botswana September 1 2017, Full Time 2-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement