Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

ASLAY KAFUNGUKA KUHUSU BEKA: “Nimeanza kutoboa kabla yao” (+VIDEO)

on

Mwimbaji wa Bongofleva Aslay amekaa kwenye Exclusive Interview na Ayo TV na millardayo.com katika backstage ya Fiesta 2017 Arusha na kueleza kuhusu tofauti kati yake na Msanii mwenzake waliekua Band moja ya Yamoto, Beka zikisambaa taarifa kuwa kuna tofauti za kimuziki.

Asley amefunguka na kusema anampenda Beka na anapenda muziki wake ingawa kuna watu wamekuwa wakiwachonganisha tu wakati hawana tofauti yoyote akibainisha huwa hatoi nyimbo kwa sababu Beka ametoa bali Meneja wake ndio huachia nyimbo kwa muda sahihi.

Bonyeza Play kusikia yote aliyozungumza msanii Asley

BEN POL KAHOJIWA: Ni kuhusu kumuacha Ebitoke

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement