Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Ommy Dimpoz na Alikiba wanatualika kuitazama video yao mpya ‘Kajiandae’

on

Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz November 6 2016 ametuletea video mpya akiwa na Alikiba inaitwa ‘Kajiandae’ ambayo imefanywa na director Justin Campus wa Afrika Kusini, ukishamaliza kuitazama tafadhali usiache kutuandikia comment yako ili wakipita hapa wajue watu wao wameipokeaje

VIDEO: Majibu ya Video Queen aliyeonekana kwenye Video ya Salome amejibu kuwa siyo yeye aliyebakwa. 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement