Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

Video ya staa mwingine wa Bongo Fleva imegonga namba moja kwenye countdown ya Nigeria !!


ooop

Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu, safari ya kuusogeza huu muziki kwenye level hizo inafanywa na mastaa wengi na wanaongezeka kila siku… Majina ya Vanessa Mdee na Diamond Platnumz kwenye Tuzo za MTV MAMA Awards 2015 ni ushahidi tosha kwamba YES, tunasogea mdogomdogo.

Ommy Dimpoz

Good news leo inamhusu Omary Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz, ishu ya kuwa NUMBER 1 kwenye countdown za shows mbalimbali nje ya nchi sio kitu kidogo.

‘Wanjera‘ ya Ommy Dimpoz imefanikiwa kugonga number 1 kwenye chati ya Sound City TV Nigeria.

pkp2

Wiki hii Ommy Dimpoz ameshika namba moja kwenye countdown ya Soundcity Top Ten East na wimbo wa Wanjera hii ni good news kwa Watanzania kwa msanii mwengine wa Bongo Fleva kuonekana kwenye nafasi ya namba moja.

Ommy Dimpoz alipost ujumbe huu Instagram kuonyesha furaha yake.

‘Wanjera’- Ommy Dimpoz iko hapa mtu wangu…

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement