Top Stories

Mambo manne usiyoyajua kuhusu faida za nyuki, taifa linaweza kupata hasara

on

Inawezekana wewe ni miongoni mwa watu wanaowafahamu nyuki kama mdudu atengenezaye asali tu ambayo imekuwa ikitumika katika mambo mbalimbali ikiwemo kutumika kama chakula, leo nakukutanisha na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la LEAD Foundation ambao walikuwa wakizindua mradi wa mazingira na ufugaji nyuki katika mlima wa Kiboriani uliopo wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma ambapo anatueleza namna nyuki wanavyosaidia katika sekta ya kilimo na endapo watakosekana taifa linaweza kupata hasara.

TATIZO LA UMEME TANZANIA SASA LITABAKI STORI

Soma na hizi

Tupia Comments