PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mtoto wa miaka miwili amejiua kwa kujipiga risasi

on

Leo July 10, 2018 kuna story ya kuifahamu ambapo Mtoto mwenye umri wa miaka miwili, Christopher Williams Jr amefariki nyumbani kwao baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake.

Polisi katika eneo hilo wanasema bunduki hiyo ambayo hutumia risasi za ukubwa wa 9mm wameikuta eneo la tukio na kuwa ilikuwa inamilikiwa na baba yake.

Bado polisi hawajabaini iwapo wazazi wake walikuwa nyumbani muda wa tukio hilo watashtakiwa au la, pia  Polisi wamesema wanajaribu kubaini ni vipi mtoto huyo aliweza kuifikia bunduki hiyo.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge alivyogoma kuzindua Zahanati mbele ya DC Ally Hapi

Soma na hizi

Tupia Comments