Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

PICHA 3: Paul Makonda amualika T.I.D nyumbani kwake Masaki leo


Ni siku 3 toka mwimbaji wa bongofleva T.I.D aachiwe kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya ambalo lilianzia kwenye orodha aliyoitaja mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Leo February 11 2017 Mkuu huyo wa mkoa amemuita T.I.D nyumbani kwake Masaki na kufanya nae mazungumzo ikiwa ni siku mbili zimepita toka Makonda amsifie T.I.D kwa kukiri kuwa tayari kusaidiwa kuachana na dawa za kulevya.

Baada ya kufanya mazungumzo na T.ID Paul Makonda alisemaMungu wetu hajalala na siku zote anampenda amtafutae, karibu tena nyumbani T.I.D”

Paul Makonda na T.I.D wakizungumzia jambo kutoka kwenye simu ya T.I.D

VIDEO: Walivyofikishwa Mahakamani T.I.D, Rachel, Petitman na wengine, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement