Video Mpya

“Sijaiga, mimi ndiyo nilianza, wanaofanya Comedy wameniangalia, mimi ni mfano” MC Pilipili

on

Mchekeshaji maarufu MC Pilipili amezungumza na kusema show yake ya comedy anayotarajia kuifanya hivi karibuni hajamuiga mtu bali wengi wanaofanya show za namna hizo wamemuiga yeye kwani yeye amefanya sana zamani kabla yao.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama MC PILIPILI akizungumza.

VIDEO: Usiku wa mswahili, vyakula vya Kiswahili vyatawala, Mlenda mpaka Kempinski

Soma na hizi

Tupia Comments