Tangaza Hapa Ad

Mix

Hoteli unayoweza kupata Malazi ukasaidiwa ktk Biashara ukiwa Tanzania

on

Nafahamu kuna watu wa nguvu ambao wameshajionea mambo mbalimbali na kuzipata story nyingi zinazotrend duniani kote kupitia millardayo.com, basi pia isikupite hii ya Hotel ambayo inasifika kwa huduma nzuri na uhakika.

Seashells Millennium Hotel inapatikana Kijitonyama Dar es Salaam, Jengo la Millenium Tower ambapo mbali na kuwa na vyumba vya kisasa, sehemu ya kufanyia mikutano ya kibiashara, vyakula vya asili, sehemu nzuri na tulivu ya kupumzika na huduma ya internet, kuogelea na gym bure pia wanatoa huduma ya usafiri wa ama kutoka au kuelekea Airport kwa wahitaji.

Kwa huduma bora ya malazi, chakula na mikutano tembelea Seashells Millennium Hotel au wasiliana nao kwa +255 22 277 3400, barua pepe bookings@seashellshoteltz.com au tembelea tovuti yao www.seashellshoteltz.com.

Tupia Comments

Advertisement