Fastjet

Shangwe za show ya Joh Makini A town!!

Arusha ni miongoni mwa miji ya Tanzania ambayo Wakazi wake wanasifa ya kuwa mashabiki wakubwa wa muziki aina ya Hiphop….  ambapo kwenye post hii mashabiki wa A Town wamedhihirisha kweli wakati wa show ya Joh Makini mwamba kutoka WEUSI ambao...
Read More »

Muendelezo wa ile Hekaheka ya Fumanizi #Hekaheka

Hii ilianza jana ambapo alisikika mwanamke ambaye anasemekana kumfumania mume wake na mwanamke mwingine,idara ya Hekaheka kama kawaida yake ni pamoja na kuusikiliza upande wa pili. Leo wanasikika majirani pamoja  na Mwanamke aliyefumaniwa ambaye anaeleza kila kitu kuhusu uhusiano wake...
Read More »
Scroll To Top