Fastjet
Coke Studio
NMB Bank - Weka Ushinde
BBA Vote for Idris

Breaking News: Danny Welbeck amesaini Arsenal

Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester United Danny Welbeck amefuata mkumbo wa kundi la wachezaji walioihama Man united wiki hii. Baada ya Shinji Kagawa, leo hii imethibitishwa rasmi Danny Welbeck amejiunha na klabu ya Arsenal. Welbeck ambaye alijiunga na...
Read More »

Live za ‘we dem boyz’ ya Wiz Khalifa !!

Wakati huu joto la Serengeti Fiesta 2014 likipita kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania Shinyanga, Musoma na Geita wakihusika weekend hii, ikiwa ni music tour inayoubeba msimu wa dhahabuna kushuhudia vijana wa Kitanzania wakifanya yao on stage, tumepewa nafasi ya kuona...
Read More »
Scroll To Top