PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Good News kwa watumishi wote wanaoidai Serikali

on

February 9, 2018 Serikali kupitia Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango imesema kuwa imekamilisha uhakiki wa madeni ya watumishi wa umma ambapo madeni halali ni Shilingi bilioni 43. 39 tofauti na iliyokuwa ikitajwa mwanzo kwamba ni Bilioni 127. 6 ambalo litalipwa kwa mkupuo. Waziri Mpango ametoa taarifa hiyo akiwa Dodoma ambapo pia amesema majina ya watu wote wanaotakiwa kulipwa madeni hayo yataanza kutolewa kwenye magazeti ya Serikali kuanzia kesho.

Hotuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuhairishwa kwa Bunge 

Soma na hizi

Tupia Comments