Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Waziri Mkuu ashinikizwa kujiuzulu, wiki moja baada ya kuteuliwa

on

Waziri Mkuu wa Armenia, Serzh Sargsyan amejiuzulu rasmi leo April 23, 2018 baada ya siku kadhaa za maandamano makubwa ya kitaifa dhidi yake.

Wafuasi wa upinzani wanamtuhumu Sargsyan kwa kung’ang’ania madaraka mara tu baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu Jumanne ya wiki iliyopita, baada ya kumaliza mihula miwili ya miaka 1o kama Rais

Mwanaume atunza pesa miaka 10 ili anunue PETE ya UCHUMBA

Tangazo hilo limekuja baada ya kiongozi wa upinzani Nikol Pashinyan kufunguliwa kutoka kizuizini. Pashinyan alikamatwa siku ya Jumapili baada ya mazungumzo ya televisheni na Mr Sargsyan kutofikia muafaka.

Serikali kuanza kuwapima UKIMWI na TB wanaume kwenye baa (Bar)

Soma na hizi

Tupia Comments