Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Makosa 5 yaliyowafanya polisi Dar kukusanya zaidi ya mil 700 ndani ya siku 10

on

Jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limesema wamekusanya kiasi cha shilingi za kitanzania milion 796.8 kupitia tozo za makosa ya barabarani kwa kipindi cha kuanzia December 13 2016 hadi December 22 2016 na kuiingizia serikali mapato.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam Naibu kamishna wa polisi kanda maalum Lucas Mkondya amesema…>>>’idadi ya magari yaliyokamatwa ni 20,747, pikipiki 2,186, daladala 8,213, magari mengine binafsi 13,534

Wakati huo huo bodaboda waliofikishwa mahakamani kwa makosa ya kutovaa helmet na kupakia mishkaki ni 36 hivyo jumla ya makosa yaliyokamatwa ni 23,660‘ –Lucas Mkondya

Stori kamili nimekuwekea kwenye hii video hapa chini…

Jeshi la Polisi limetangaza magari mapya yatakayoruhusiwa kubeba abiria

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement