Tangaza Hapa Ad

Mix

Baada ya Profesa Jay kuhoji kauli ya Nash, Nash Emcee aandika yakwake pia

on

Rapper Mkongwe na Mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule (Professor Jay) jana alifunguka ya moyoni kuhusiana na Rappers na Wadau wengine wa Tanzania wanaokejeli harakati za wasanii wa hip hop za kubadilisha ladha ya muziki huo ambapo Nash alijibu baada ya kuona alichoandika Prof.

  

Nash mc kwa kuonesha kuwa ameguswa na hichi na yeye alijibu haya kwa kuTweet >>>>>>>>>>>> 

Rama Dee alimpongeza Prof Jay kwa kuandika yafuatayo

VIDEO: Baada ya P Funk kuona video ya mapenzi iliyosambaa mitandaoni wanayosema ni mtoto wake, kaongea hapa chini kwenye hii video

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement