Top Stories

Makamishna watatu wa Tume ya Uchaguzi Kenya wajiuzulu….kisa?

on

Ikiwa mgogoro ndani ya Tume ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) ukiendelea makamishna watatu wa tume hiyo wametangaza kujiuzulu.

Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wa tume hiyo Connie Nkatha Maina, Margaret Mwachanya na Paul Kurgat.

Makamishna hao wameeleza kuwa wameamua kujiuzulu kutokana na wanachodai kukosa imani na Mwenyekiti wao Wafula Chebukati ambaye wanadai ameshindwa kuongoza tume hiyo ipasavyo.

Onyo alilotoa January Makamba kwa Mastaa wa Bongo

Soma na hizi

Tupia Comments