Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Ladies and gentleman tunae Ben Pol na video mpya ‘Phone’

on

Unakaribishwa kuitazama video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae round hii yuko na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inaitwa ‘Phone‘ ambayo audio yake tuliipokea January 2017.

Leo ni zamu ya video na ukishaitazama usiache kuandika comment yako mtu wa nguvu ili Ben akipita ajue watu wake wanasemaje.

ULIPITWA? Tazama hapa chini Wema Sepetu akieleza kwanini alifuta picha zake zote kwenye Instagram

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement