Biko


Tangaza Hapa Ad

Magazeti

PICHA 8: Ukiisikia Tandale Dar es salaam wanakotoka kina Diamond ndio hii kwa muonekano wa Juu

on

Ni sehemu ndani ya jiji la Dar es salaam wanakotoka au walikokulia mastaa kadhaa wa Tanzania akiwemo Diamond Platnumz, ni sehemu ambayo Wenyeji wenyewe wanakwambia wanakula kila kitu cha Kuku kasoro Manyoya tu…

Ni sehemu ambayo mguu wa kuku iliyokaangwa inauzwa kwa shilingi 150 na ukiwa na shilingi 500 tu utapata Wali Maharage kwa Mama Chobo, chumba cha kupanga chenye umeme kwa mwezi unalipia shilingi elfu 30 ambapo kisicho na umeme ni shilingi 15000.

VIDEO: Kwanini Diamond Platnumz hataki kushika simu ya mpenzi wake? bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement