Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 20: Jihan ndio ametangazwa Miss Universe Tanzania 2016

on

Shindano la kumtafuta Miss Universe Tanzania kwa mwaka 2016 limefanyika usiku wa November 25 Dar es salaam ambapo Jihan Dimack ametangazwa mshindi.

Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.

3x6a6814

Miss Universe 2016 Jihan Dimack

Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa aniwakilisha UDSM.

3x6a6885

3x6a6883

3x6a6880

3x6a6879

3x6a6873

3x6a6871

3x6a6866

Lilian Felix, Jihan Dimack na Lilian Loth

3x6a6860

3x6a6847

3x6a6844

3x6a6838

3x6a6837

3x6a6821

3x6a6817

3x6a6806

3x6a6800

3x6a6791

3x6a6779

3x6a6766

VIDEO: ‘Mimi ni mzuri hivihivi, nawaona wenzangu jua linavyowatesa‘ –Miss Tanzania…. tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mwanzo mwisho… fainali ya Miss Tanzania 2016 itazame kwenye hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement