Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Polisi yamuonyesha Kijana aliyesambaza Orodha feki ya wauza dawa za kulevya


Polisi kanda maalum Dar es salaam imemkamata kijana ambaye alisambaza taarifa za uongo kuhusu Watu wanaotuhumiwa kuhusika na uuzwaji, usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya Tanzania ambapo ndani ya hiyo orodha yake alimtaja pia Kiongozi wa kanisa katoliki.

POLISI WAONGEA KUHUSU KUKAMATWA KWA AGNESS MASOGANGE, TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement