Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoFUPI: Wema Sepetu akiingia kituo cha Polisi kutii wito wa Makonda

on

Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya, leo baadhi yao wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam na hii ni ya mwigizaji Wema Sepetu.


FULL VIDEO: Paul Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya Dar es salaam wakiwemo watu maarufu na Askari Polisi, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Wema Sepetu aeleza kwanini hatomsamehe Kajala…. bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement