DSTV

Tangaza Hapa Ad

Breaking News

BREAKING: Meneja wa Peacock Hotel akamatwa na Polisi Dsm kwa kutoa ukumbi

on

Tunae Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Polisi Dar es salaam Lazaro Benedict Mambosasa ambae ametangaza kukamatwa kwa Meneja wa Hoteli ya Peacock Dar es salaam.

Namnukuu Kamanda Mambo sasa akisema “Tumewakamata Wahalifu wengine wa aina yake pale Peacock ambao wanahamasisha ushoga hapa nchini, Wahusika hao kuna raia wa South Africa, Waganda na Watanzania”

Kwa Tanzania kuna sheria ya kuzuia watu wa jinsia moja kufanya tendo hilo, kwanza Meneja wa Peacock tumemkamata kwa ajili ya kumuhoji, alikua anafahamu ndio maana akatoa ukumbi lakini pia Wahusika hao warudi South Africa wakaendelee huko kama sheria zao zinaruhusu”

Niliowakamata ni 12, raia wawili wa South Africa, Mganda mmoja na 9 ni Watanzania wenyeji ambao wametoka maeneo mbalimbali… niombe Watanzania kama walivyofanya pale Peacok waendelee kutuamini kwa kutoa taarifa ili tuweze kushughulika nao kwa wakati” 

Unaweza kumtazama Kamanda Mambosasa akiongea zaidi hapa chini

TUNDU LISSU ATOKA ICU, ALIONA JUA KWA MARA YA KWANZA TOKA APIGWE RISASI..

HUTAKI KUPITWA? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. bonyeza page zifuatazo ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> APP YA MILLARD AYO pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement