Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Waziri mkuu kuhusu wataohamia Dodoma baada ya yeye


Habari nyingine inayofanyiwa kazi sasa hivi ni kuhusu Serikali kuhamia Dodoma ambapo Waziri mkuu tayari alishaongoza jahazi kwa kuhamia, leo AyoTV Dodoma inae Waziri mkuu Majaliwa Kassim akizungumzia wanaofata baada ya yeye kuhamia pamoja na mipango mingine kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement